Tafuta

Unaweza kutafuta ndugu zako mliopotezana hapa Wanapatikana kirahisi kweli kwa sasa

👉SOMA ZAIDI HAPA...

👉 Dalili za kwanza za msichana au mwanamke kuwa na mimba ni zipi?👇✔

DALILI ZA KWANZA ZA MIMBA…

Dalili moja i iliyo wazi zaidi ni kukosa hedhi. Mwanamke akijamii ana na mwanaume bila kutumia kinga yoyote na asipopata hedhi katika muda unaotakiwa, mara nyingi i i ina maana kwamba amepata mimba.

wadogo.gif

Dalili nyingine ni kuvimba matiti na chuchu kuchomachoma. Baadhi ya wanawake wanaota mavuzi mengi na wengine wengi rangi ya chuchu i inabadilika kuwa nyeusi. Pia, karibu nusu ya wanawake wajawazito huumwa tumbo na wengine hutapika. Wanawake wengi husikia mkojo mara kwa mara na wengine hujisikia wachovu na kuona kizunguzungu, hasa katika miezi mitatu ya mwanzo. Wakati mwingine wanawake hupenda au huchukia baadhi ya vyakula.

Ili mwanamke awe na uhakika kama ni mjamzito au hapana, akapimwe mkojo kwenye kliniki au hospitalini, mara anapokuwa na wasiwasi

Slide2-mabesti-utotoni.PNG

🙉🙉🙉Usisahau kushare posti hii kuhusu (Dalili za kwanza za msichana au mwanamke kuwa na mimba ni zipi?).👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome💯✔

Ndugu yako yupo hapa anakuulizia Anakupenda sana na amekumiss

👉SOMA ZAIDI HAPA...

wadogo.gif

.