.

๐Ÿ‘‰ Albino anaweza kuwa na maisha ya kawaida na yenye mafanikio katika maisha?๐Ÿ‘‡โœ”

IMG_20180108_171540.jpg

Imehaririwa na; Melkisedeck Leon Shine. Tarehe 01 Feb 2016 13:51. [Legal & Authority]


Albino anaweza kuwa na maisha ya kawaida na yenye mafanikio katika maisha?

Imani iliyojengeka kwenye jamii kuwa Albino wana uwezo
mdogo si ya kweli. Ipo mifano mingi ya watu walioweza kupata
mafanikio katika maisha ambao pia ni Albino. Wapo ambao ni
walimu, wanasayansi, wanasheria, na wengine wapo kwenye
siasa na uongozi.
Mbunge wa Lindi mjini kupitia chama cha CUF mheshimiwa
Salum Khalifan Barwani.
Mbunge wa viti maalumu wanawake Mheshimiwa. Al-Shymaa
Kway-Geer, muimbaji maarufu wa muziki wa kizazi kipya (bongo
flava) Keisha,
mwanasheria Abdallah Possi na Sizya Migila ambaye ni afisa
utawala wa Taasisi ya Uhasibu ya Taifa ni mifano mizuri
inayoonyesha Albino waliopata mafanikio katika maisha yao.
Mwanamuziki wa kimataifa wa Afro-pop kutoka nchi ya Mali
anayeitwa Salif Keita amefikia mafanikio makubwa sana duniani
kote kuanzia bara la Afrika na Ulaya kiasi cha kuitwa, โ€œSauti
ya Dhahabu.โ€ Yeye alizaliwa katika familia ya muasisi wa Taifa
la Mali Ndugu Sundiata Keita. Hii pia inadhihirisha kuwa Albino
anaweza kuzaliwa katika familia yoyote kuanzia zile za kifalme
na hata familia maskini za wakulima vijijini.

Soma%20Zaidi.gif Napendekeza uendelee kusoma kuhusu; Mapishi ya Ndizi na Nyama Ya Ngโ€™ombe-2.

๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰๐Ÿ™‰Usisahau kushare posti hii kuhusu (Albino anaweza kuwa na maisha ya kawaida na yenye mafanikio katika maisha?).๐Ÿ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome๐Ÿ’ฏโœ”

Nini maoni yako kuhusu, Albino anaweza kuwa na maisha ya kawaida na yenye mafanikio katika maisha?? Niandikie hapa
Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

IMG_20180125_211539.jpg

Ujumbe wangu kwako kwa sasa

"Unakumbushwa kuangalia Videos kali kwa kubofya HAPA. Usipitwe na video mpya za kila siku."

mwandishi.gif

.

.

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri. Karibu tena kila siku.

MAWASILIANO | KUHUSU MWANDISHI

Blog nyingine maarufu ndani ya AckySHINE.com

| Vichekesho | Videos | Picha | Ujasiriamali | Mahusiano | Kilimo & Mifugo | Katoliki | Afya & Mapishi | Hadithi | Misemo | SMS