Leo katika safu ya Videos nimekuandalia videos hizi…

O.gif Cheki tembo anavyokimbiza hii baiskeli, ungekua ni wewe ungefanyaje?βœ”

O.gif Angalia hili bonge la jibwa lilivyo na hasiraβœ”

O.gif Angalia huyu kilichompata baada ya Baiskeli yake kukatika Brekiβœ”

O.gif Wazee wengine ni hatari, mwangalie huyu mzee anachoufanyia huu mdoliβœ”

O.gif Angalia hili gari lilivyopata ajali kiajabuβœ”

O.gif Cheki huyu mlevi mjinga alichofanyiwaβœ”

O.gif Huyu jamaa anaachia ushuzi kama gari vile, duh ni shidaβœ”

O.gif Duh usingizi ni noma, cheki huyu anavyosinziaβœ”

O.gif Mcheki huyu anataka kuendesha pikipiki yenye tairi mojaβœ”

O.gif Mwangalie huyu nyani anachokifanya sasa, ka vile mtuβœ”

O.gif Angalia huyu mwanamke alichokifanya sasa, kawa kama mtotoβœ”

O.gif MAAJABU: Hili gari ni kiboko, angalia lilivyobeba watu wengiβœ”

O.gif Cheki huyu jamaa anavyopanda farasi kijingaβœ”

O.gif Jinsi kangaroo anavyobeba mtoto wake kwenye mfuko ulioko tumboni kwakeβœ”

O.gif Angalia huyu mwizi wa kondooβœ”

O.gif Cheki kilichompata huyu sharobaro, sio kila sehemu inahitaji mbwembweβœ”

O.gif Angalia hawa watu wanavyofanya mchezo na nyuki, jaribu wewe uone usipolazwa hospitaliβœ”

O.gif Ukisikia ulofa ndio huu, huyu ndiyo mume bwege sasaβœ”

O.gif Huyu ana sura mbaya, cheki anavyokula sasaβœ”

O.gif Kocha akiwafundisha adabu wachezaji wakeβœ”

O.gif Hizi staili nyingine za ujenzi ni noma, cheki hawaβœ”

O.gif Hapa nani kawezwa zaidiβœ”

O.gif Angalia huyu alivyo mtaalamu wa kucheza Pool tableβœ”

O.gif Huyu dereva wa hili gari kweli mtaalamu kwa hiki anachofanyaβœ”

O.gif Mazoea mabaya eti, mcheki huyuβœ”

O.gif Angalia huyu dogo baisikeli yake ilichomfanyaβœ”

O.gif Angalia kilichompata huyu jamaa baada ya kuamka na hang over yakeβœ”

O.gif Bonge la Suprise, kibongo bongo ingekuaje kwa huyu dada?βœ”

page 1 of 15342123...1534115342next »

VIDEO-ARUSHA