Leo katika safu ya Videos Kali nimekuandalia videos hizi Bomba…

O.gif Imani ya huyu dada imemponza kwa huyu mwanaume, Angalia video...


O.gif Huyu mlinzi kakimbia kaacha bunduki, ulinzi nacho kipaji, Angalia video...


O.gif Huyu jamaa atajielezeaje ili wamuelewe? Kwa jinsi hii waliyomkuta, Angalia video...


O.gif Sipati picha huyu jamaa akianguka na hii pikipiki hapa, Angalia video...


O.gif Mwanamke alivyookolewa baada ya gari yake kuzama kwenye maji, Angalia video...


O.gif Mjusi kaponea chupu chupu kuliwa na nyoka, Angalia video...


O.gif Kilichotokea baada ya kuingia kwenye nyumba ya simba, Angalia video...


O.gif Duh! kumbe punda nao wahuni, angalia anachomfanya huyu, Angalia video...


O.gif Cheki huyu jamaa anachomfanyia huyu panya, kama wewe ni muoga usiangalie, Angalia video...


O.gif Huku kujiamini kwa huyu kimepitiliza, mwangalie anachofanya, Angalia video...


O.gif Angalia huyu faru alichokifanyia hili gari, Angalia video...


O.gif Hii ajali ya hili gari kwenye mchanga ni balaa, Angalia video...


O.gif Cheki huyu mtoto anachofanya hapa, enzi zile za utoto, Angalia video...


O.gif Huyu bodaboda ataua huyu mzee wa watu, Angalia video...


O.gif Cheki kilichompata huyu sharobaro, sio kila sehemu inahitaji mbwembwe, Angalia video...


O.gif Jamaa kiboko kwa mapishi haya, Angalia video...


O.gif Huyu dogo mkorofi, cheki alichomfanyia mama yake, Angalia video...


O.gif Angalia hii sigara ya ajabu, Angalia video...


O.gif Best Speech of Mother Teresa about Love and Family, Angalia video...


O.gif Kumuomba mwanamke umuoe sio lazima umvike Pete tuu hata alichofanya huyu mwanamme, Angalia video...


O.gif Hawa ndio watoto wa digitali sasa, Angalia video...


O.gif Angalia hawa watoto wanacheza na bunduki, hatari kweli kweli, Angalia video...


O.gif Jinsi kangaroo anavyobeba mtoto wake kwenye mfuko ulioko tumboni kwake, Angalia video...


O.gif Mcheki huyu anataka kuendesha pikipiki yenye tairi moja, Angalia video...


O.gif Majamaa walijua ndio wamevamiwa hivyo, Angalia video...


O.gif Haya mashindano ya pikipiki ni noma, hapa unatakiwa uwe na kipaji kweli, Angalia video...


O.gif Angalia huyu mbwa anayeweza kuendesha gari, Angalia video...


O.gif Angalia samaki alivyo na mdomo mkubwa, Angalia video...


O.gif Huyu kamfanyia uhuni mwenzake akiwa anabarizi, Angalia video...


O.gif Angalia huyu jamaa alivyo mtaalamu wa haka kamchezo, Angalia video...


O.gif Hizi mila nyingine ni balaa, cheki hawa watoto wanachofanyiwa, Angalia video...


O.gif Simba akipigwa na twiga, Angalia video...


O.gif Hawa wataalamu wa kucheza mziki wa dansi, Angalia video...


O.gif Angalia huyu mganga wa kienyeji alichomfanyia huyu dada, Angalia video...


O.gif Huu uongo umezidi sasa, angalia huyu anachokifanya baada ya kupigiwa simu na mke wake, Angalia video...


O.gif Video kali ya vituko vya Mkude Simba, Angalia video...


O.gif Huyu jamaa anataka kufa, thubutu!, Angalia video...


O.gif Huyu alivyokaa, kama zimwi vile, Angalia video...


O.gif Kilichompata fundi umeme baada ya kuzidisha mbwe mbwe kazini, Angalia video...


O.gif Huyu jogoo ni noma, anapiga wenzake hadi mateke, Angalia video...


O.gif Mtanange wa majogoo, nani mbabe hapa, Angalia video...


O.gif Tizama baisikeli moja ilivyosababisha ajali ya magari zaidi ya 10, Angalia video...


O.gif Nyoka akimkamata panya na kumuua, Angalia video...


O.gif Huyu jamaa anaachia ushuzi kama gari vile, duh ni shida, Angalia video...


O.gif Angalia simba wakipigana wao kwa wao, Angalia video...


O.gif Huyu anajua kulenga Ile mbaya, unaweza hii?, Angalia video...


O.gif Mashine ya kupasua visiki, Angalia video...


O.gif Huyu anacheza mziki kama vile hana viungo, Angalia video...


O.gif Angalia huyu msichana alichomfanyia huyu mwanaume, Angalia video...


O.gif Angalia huyu dogo kabeba kondoo wawili kwenye baisikeli isiyokuwa na kitako, Angalia video...


O.gif Angalia huyu mnyama anachowafanya Hawa mbwa, Angalia video...


O.gif Watu wakicheza na wanyama hatari, Angalia video...


O.gif Eti siku yako ya kwanza kupelekwa kwenda shule ndiyo ulikua hivi?, Angalia video...


O.gif Angalia huyu jamaa aliyekuwa akimvizia huyu msichana Alichofanyiwa naye, Angalia video...


O.gif Angalia kilichompata huyu jamaa baada ya kuamka na hang over yake, Angalia video...


O.gif Mtu anacheza na dubu kama anacheza na rafiki ake, Angalia video...


O.gif Haya mashindano mengine ni shida, nani kashinda hapa sasa, Angalia video...


O.gif Hili jeshi la wapi? angalia wanavyokata mauno, Angalia video...


O.gif Huyu mtu kagongwa kiajabu, Hizi nuksi nyingine hizi, Angalia video...


O.gif Hii treni imebeba watu wengi kama daladala vile, Angalia video...


O.gif Mwanaume anachofanya mbele ya wadada warembo, Angalia video...


O.gif Angalia huyu mtoto mchanga anavyotembezwa, Angalia video...


O.gif Amakweli pombe sio chai, angalia ilichomfanya huyu, Angalia video...


O.gif Ndio maana unatakiwa uvae dera, kwa mwili huu?, Angalia video...


O.gif Waangalie huyu simba na nyati wanachokifanya hapa, Angalia video...


O.gif Angalia kilichotokea wakati wanapigana, na ugomvi ukaisha, Angalia video...


O.gif Kumbe paka nao wanakuaga wahuni, Angalia video...


O.gif Angalia huyu baba anavyomfanyisha mwanae mazoezi, huyu mtoto akiwa mkubwa atakuwa mtaalamu Ile mbaya, Angalia video...


O.gif Kipaji ni kipaji tuu, huyu japo kilema lakini mtaalamu wa mpira, Angalia video...


O.gif Angalia huyu mshikaji anavyojiunga na wenzake kimtindo, Angalia video...


O.gif Huyu jamaa kabuni chombo kipya cha kusafiria, Angalia video...


O.gif Michezo mingine hii ni hatari, Angalia video...


O.gif Kumbe masister du wengine simu zao ndio za kihivi, Angalia video...


O.gif Wazee wengine ni hatari, mwangalie huyu mzee anachoufanyia huu mdoli, Angalia video...


O.gif Angalia Hawa nguruwe wanavyochinjwa kama vile wanasulubishwa, Angalia video...


O.gif Cheki huyu jamaa anavyomfanya mwenzake baada ya kupandisha mzuka, Angalia video...


O.gif Ukisikia watu wenye bahati ndio hawa, wameponea chupu chupu, Angalia video...


O.gif Kilichowasibu polisi wa zima moto wakati wapo kazini wakizima moto, kazi nyingine ni ngumu, Angalia video...


O.gif Angalia huyu jamaa anajitestia bastola yake kama inafanya kazi, Angalia video...


O.gif Huyu mwalimu kiboko, anataka kumscopion huyu mwanafunzi, Angalia video...


O.gif Hizi TV nyingine bwana za kiajabu, Angalia video...


O.gif Mapishi ya nyama ya chap chap, Angalia video...


O.gif Angalia haka kapaka kanachofanya, Kasumbufu kweli, Angalia video...


O.gif Kilichomsibu dada huyu mpanda farasi, Angalia video...


O.gif Huyu naye hana akili, angalia anavyotaka kubeba huyu mbuzi, Angalia video...


O.gif Huyu Mzee wa watu kashavurugwa tayari kwa anachofanya, Angalia video...


O.gif Duh! Angalia huyu dada wa watu anavyoogopa mende, yani utazani kaona nyoka, Angalia video...


O.gif Jinsi mbwa wanavyouzwa kama kitoweo kwa wachina, Angalia video...


O.gif Angalia kilichompata huyu mama kwenye sherehe yake, Angalia video...


O.gif Ufugaji wa simba huu sasa, Angalia video...


O.gif Mchawi kakwama, nguvu zimemwisha njiani, Angalia video...


O.gif Huyu jamaa kapata wenge, michezo mingine waachie wenyewe, Angalia video...


O.gif Kwa mbwembwe zote wageni waalikwa wameanguka wakati wakipanda jukwaani, Angalia video...


O.gif Angalia huyu alivyo mtaalamu wa kucheza Pool table, Angalia video...


O.gif Huyu mtoto ni hatari, sijui akiwa mtu mzima itakuwaje, Angalia video...


O.gif Angalia huyu jamaa alivyochukuliwa na hili gari, Angalia video...


O.gif Mbio za mabonge sasa, cheki hapo nani mkali, Angalia video...


O.gif Cheki huyu jamaa alichofanyiwa na huyu n'gombe, Angalia video...


O.gif Huyu dereva wa hili gari kweli mtaalamu kwa hiki anachofanya, Angalia video...


O.gif Bibi harusi alivyoumbuka wakati akiingia kwenye harusi yake, Angalia video...


O.gif Angalia hili gari lilivyopata ajali kiajabu, Angalia video...


O.gif Hawa kuku ni noma, angalia wanachomfanya huyu mtoto, Angalia video...


.

page 1 of 20713123...2071220713next »