.

IMG_20180125_211540.jpg

"Vile unavyotoa ndivyo unavyopokea. Yule anayetoa sana ndiye ansyepokea sana. Kutoa ni kuhifadhi.."

.

.

IMG_20181021_135550.jpg

"Kukosa mtu, kitu au jambo fulani kunasababila Moyo kujenga upendo kwenye mtu, kitu au jambo ulilolikosa."

.

.

IMG_20181021_134131.jpg

"Uwe mzuri kwenye kufanya kama ulivyo kwenye kufikiri. Matendo yako yafanane na maneno na maneno na matendo.."

.

.

images-8.jpeg

"Katika maisha, kinga kuu ya magonjwa na majanga yote ni kujikatalia au kujinyima.,"

.