.

ml.gif

πŸ‘‰πŸ˜ Wazo la LeoπŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

WAZO LA LEO!"Vaa nguo zote upendeze lakini SANDA ndiyo Fasheni ya mwisho!.Tembea kote lakini KABURINI ndiyo matembezi ya mwisho!.Panda Gari, Farasi, Meli, Treni, Ndege, Ngamia, Bajaji na Pikipiki lakini JENEZA ni Gari la mwisho!. Kusanya mali na mizigo mingi ya thamani lakini UDONGO ni Mzigo wako wa mwisho!.Jiite majina yote lakini marehemu ndio jina lako la mwisho. Tubu ndugu yangu wakati ndio huu.

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Usisahau kushare kichekesho hiki Kwenye Mitandao ya Kijamii

mtu.gif

.

.

Melkisedeck%20Shine.gif

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

.

Wasiliana nami;

Kwa maoni, ushauri, nyongeza na hata salamu

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu
Mahali unapotoka
Email
Ujumbe wako
Uwe Huru. Ujumbe huu ni siri yangu na wewe.

ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES | CONSULT ME


MELKISEDECK-LEON.jpg

"Kama vile moto unavyozimwa na maji ndivyo vivyo hivyo hasira inamalizwa na maneno ya upole.."