Vichekesho Vya AckySHINE Β» Wanaume ni noma, Angalia huyu alivyomdanganya huyu πŸ‘§ girlfriend wake

πŸ‘‰πŸ˜ Wanaume ni noma, Angalia huyu alivyomdanganya huyu πŸ‘§ girlfriend wakeπŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

Jamaa kamdanganya girlfriend wake kuwa anasomea HOTEL MANAGEMENT. Siku huyo girlfriend akamkuta jamaa anaosha vyombo kwa MAMA NTILIE.

Girlfriend akamuuliza jamaa β€œbeby vipi mbona uko hapa?” Jamaa bila woga akajibu β€œNIPO FIELD.

Wanaume hatupendi ujinga sisi 😠😠😠

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare kichekesho hiki.πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wachekeπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ’―βœ”