Wanafunzi waliulizwa na mwalimu nani angependa kwenda peponi?

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Wanafunzi waliulizwa na mwalimu nani angependa kwenda peponi?

Wanafunzi waliulizwa na mwalimu nani angependa kwenda peponi? Wote wakanyosha ila mmoja tu alipokwenda nyumbani akamuelezea mamake, mamake akamuuliza je wewe ulinyosha mtoto hapana mama yule mama akamuuliza kwanini.
mtoto kwa sababu mama uliniambia nikitoka shule nije moja kwa moja mpaka nyumbani nisiende kokote

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Wanafunzi waliulizwa na mwalimu nani angependa kwenda peponi?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
vichekesho-bomba-vya-siku.png
picha-kali.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo za vichekesho;

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png
familia-mapenzi-na-mahusiano.png
picha-kali.png