Walevi wawili waliokota kioo

vichekesho-bomba-vya-siku.png

Walevi wawili waliokota kioo

Walevi wawili waliokota kioo, mlevi wa 1 akaangalia muda mrefu kisha akasema "hii sura sio ngeni machoni mwangu sema jina tu silikumbuki..! !!
Mlevi wa pili akamnyang'anya kisha nae akaangalia kioo akasema "wee kweli huna akili, si mimi huyu? halafu unajidai hunikumbuki …!!!

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Walevi wawili waliokota kioo. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo za vichekesho;

afya-mapishi-na-lishe.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png
familia-mapenzi-na-mahusiano.png