Vichekesho Vya AckySHINE Β» Angalia hawa vichaa walichokifanya, Vichaa bwana, ni noma!

πŸ‘‰πŸ˜ Angalia hawa vichaa walichokifanya, Vichaa bwana, ni noma!πŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

Vichaa walipanga kutoroka, wakakubaliana wamnyonge mlinzi watoroke!

Walipofika getini wakakuta geti lipo wazi na hakuna mlinzi, wakasema "Turudi mipango yote imevurugika…

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare kichekesho hiki.πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wachekeπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ’―βœ”