Ungekua wewe ndio boss wa huyu jamaa ungempa kazi? Ungemjibu nini?

familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Ungekua wewe ndio boss wa huyu jamaa ungempa kazi? Ungemjibu nini?

*Boss*:-kijana unataka nini ndani ya ofisi zangu?
*Jamaa*:-Samahani naomba kazi ya ulinzi ndugu.
*Boss*:-umesoma mpaka wapi?
*Jamaa*:-mpaka form four.
*Boss*:-unajua kingereza?
*Jamaa*:-kwani hao wezi wanakuja na wazungu???.
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Ungekua wewe ndio boss wa huyu jamaa ungempa kazi? Ungemjibu nini?. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
familia-mapenzi-na-mahusiano.png
picha-kali.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo za vichekesho;

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png
picha-kali.png
familia-mapenzi-na-mahusiano.png