V.gif

Angalia huyu daktari anachokifanya, Udocta noma!!

By, Melkisedeck Shine.

Angalia huyu daktari anachokifanya, Udocta noma!!

Dokta alikuwa anakwenda kuwinda hivyo akamuachia majukumu assistant wake Jason.
Dokta: "Jason nakwenda kuwinda hivyo majukumu yote ni yako na angalia wagonjwa wote!"
Jason: "Ndio mkuu!"
Baada ya kurudi dokta akamuuliza vp mambo yalikwendaje kwa Jason..
Jason: " Nliwashughulikia wagonjwa wa3! Wa1 kichwa kilikuwa kinamuuma nikampa panadol"

Dokta: "Safi sana na wapili?"
Jason: "Wa2 alikuwa anaumwa na 2mbo na kama linavuruga alisema, nikampa flagyl"
Dokta: "Bravo, wee safi sana na wa3 je?
Jason: "Dokta nlikuwa nimekaa ghafla mwanamke akaingia na akavua nguo zote akabaki mtupu na akalala kwenye meza. Akapanua miguu na kupiga kelele nisaidie dokta kwa miaka mi5 sijamuona mwanaume!
Dokta: "Mungu wangu na ukafanyaje sasa?"
Jason: "Nilimuwekea dawa ya matone kwenye macho yake!"

😁😁😁😂😂😂

👉ackyshine.com/vichekesho


😂 NIMEIPENDA HII👉 Cheki huyu dingi alivyo mnokoV.gif

Usipitwe na Nafasi za kazi kwa leo

<<Bofya HAPA kujua zaidi>>

.

SALAMU-MPENZI-MCHANA-33097HG34MX.JPG
KADI-MSAMAHA-MZAZI.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.