SWALI LA KIZUSHI

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

SWALI LA KIZUSHI

Wewe ni mzazi mwanao anasoma kidato cha tatu mkoani umemsafirisha leo kwenda shule baada ya masaa matano ukasikia gari alilo panda mwanao limepata ajali wamekufa watu wote upo ktk harakati za kuandaa msiba mwanao anakupigia simu baba/mama mimi mzima sijafa mpenzi wangu ABDUL aliniambia nishuke Chalinze ili niwe nae kwa siku mbili alafu niende shule je, wewe mzazi unge mfanyaje mwanao?

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, SWALI LA KIZUSHI. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
picha-kali.png
afya-mapishi-na-lishe.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo za vichekesho;

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png