.

mtu.gif

πŸ‘‰πŸ˜ Kingereza sio mchezo, angalia anachosema huyu kwa kutokujua lughaπŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

Jamaa fulani alikuwa ame2lia beach mzungu akapita akamuliza "Are u relax ? Jamaa akawa hamuelewi akamjibu No! Mzungu mwengine akapita akamuliza vilevile akajibu No!

Akaona hapa anasumbuliwa akasogea mbele kidogo ya maji akamuona mzungu mmoja alikuwa ame2lia. Akamuliza "are u relax? Mzungu akajibu yes jamaa akamkata makofi mawili na kumwambia kumbe we ndo relax inuka unatafutwa na wenzako…..Shenz mkubwa mie nasumbuliwa na wenzako kule we umejikausha!!

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Usisahau kushare kichekesho hiki Kwenye Mitandao ya Kijamii

mwandishi.gif

.

.

Melkisedeck%20Shine.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

.

Wasiliana nami;

Kwa maoni, ushauri, nyongeza na hata salamu

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu
Mahali unapotoka
Email
Ujumbe wako
Uwe Huru. Ujumbe huu ni siri yangu na wewe.

ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES | CONSULT ME


IMG_20170703_130425.jpg

"Msomaji wangu mpendwa, usikose mambo mapya kila siku katika blog hii kwa kuitembelea kila siku. Kila siku unahakikishiwa kupata kitu kipya unapotembelea blog hii.."