.

nn.gif

πŸ‘‰πŸ˜ Huyu mama kweli tishio, mpaka askari wameogopaπŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

Askari wameitwa kwenye nyumba ambayo kuna ugomvi. Wakafika halafu ikabidi waripoti kwa simu yale waliyokuta
Askari: mkuu tumekuja hapa tumekuta mama mwenye nyumba amempiga mumewe chuma cha kichwa na kumuumiza sana

Afande: kisa na mkasa hata akafanya hivyo?
Askari: mama alikua anapiga deki, mumewe akaingia na viatu kabla sakafu haijakauka.
Afande: Mmeshamkamata huyo mama??
Askari: hapana bado mkuu
Afande: mnangoja nini sasa??
Askari: tunangoja sakafu ikauke afande

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Usisahau kushare kichekesho hiki Kwenye Mitandao ya Kijamii

msaada.gif

.

.

Melkisedeck%20Shine.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

.

Wasiliana nami;

Kwa maoni, ushauri, nyongeza na hata salamu

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu
Mahali unapotoka
Email
Ujumbe wako
Uwe Huru. Ujumbe huu ni siri yangu na wewe.

ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES | CONSULT ME


MELKISEDECK-SUA.jpg

"Msomaji wangu mpendwa usikubali kukosa makala mpya ya kila siku kutoka katika blog hii. Kila siku naandika makala mpya kwa ajili yako.."