Alichokifanya nyani aliyekuwa anataka kujiua

By, Melkisedeck Shine.

Alichokifanya nyani aliyekuwa anataka kujiua

Akamfata simba alielala na kumchokoza ili aliwe afe,
Akamtia kidole nyuma mpaka simba akaamka:-

SIMBA: Ni nani huyo?
NYANI: Ni mimi nyani kwani vp!?.

SIMBA: Kuna yeyote alieona ukinifanyia hivi?
NYAN: Hapana.

SIMBA: Basi fanya tena.
NYANI: Duhh!!.. Dunia imeisha hadi simba ***…!!!

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‰ackyshine.com/vichekesho


๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Kichekesho cha mwalimu na wanafunziV.gif

[kitendawili Kwako] ๐Ÿ‘‰Kimwiinamishacho mfalme

[fumbo Kwako] ๐Ÿ‘‰Tano inawezaje kuwa ndani ya nne?

.

picha-kali.png
Slide2-utotoni.GIF
afya-mapishi-na-lishe.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.