.

ml.gif

πŸ‘‰πŸ˜ Angalia huyu secretary anavyomjibu bosi wakeπŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

Boss mmoja aliingia kazini kwake kasahau kufunga zipu ya suruali yake sasa secretary wake akamfuata na mazungumzo yakawa hivi:

SECRETARY: Boss leo umesahau kufunga geti nyumbani kwako…

Boss akabaki anashangaa… Baadae wakati anakwenda chooni kujisaidia ile anataka kufungua zipu akaikuta iko wazi ndio akajua alichokuwa ameambiwa na Secretary wake.

Akarudi mpaka kwa secretary na mazungumzo yakaendelea:

BOSS: Bibie ulivyoona geti wazi je uliona benz langu lime paki au…?

SECRETARY: Hapana Boss niliona kitoroli kidogo kimepaki kina matairi mawili

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Usisahau kushare kichekesho hiki Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HIIπŸ‘‰] Usiyoyajua kuhusu wanawake!!

[NZURI HIIπŸ‘‰] MAPENZI YA CKU HIZI HAYAAAA!!

[NZURI HIIπŸ‘‰] Mambo ya pesa haya..

[NZURI HIIπŸ‘‰] Duh! Alijua haoni!!!

rafiki.gif

.

.

Melkisedeck%20Shine.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

.

Wasiliana nami;

Kwa maoni, ushauri, nyongeza na hata salamu

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu
Mahali unapotoka
Email
Ujumbe wako
Uwe Huru. Ujumbe huu ni siri yangu na wewe.

ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES | CONSULT ME


MELKISEDECK-SHINE.jpg

"Tamaa ni tabia ya kiasili ya kila mtu, tofauti ya mtu na mtu ni namna ya kukabili tamaa.."