Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo

By, Melkisedeck Shine.

Nilichokifanya jana baada ya kushuka kwenye basi Ubungo

Jana nateremka kwenye BASI UBUNGO nataka nichukue TEKSI hadi KIMARA naambiwa sh.15,000/=.
Wakati niponatafakari hiyo bei, nikasikia "Moro, Moro,Morogoro sh.6,000/="

Nikaamua nipande niende zangu MOROGORO.
Kwenda na kurudi sh.12,000/=.
Wakati wa kurudi nikamwmbia KONDA aniteremshe KIMARA.

SIPENDAGI UJINGA MIMI NA BEI ZA TEKSI.

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‰ackyshine.com/vichekesho


๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Angalia huyu mwalimu alichokifanyaV.gif

[kitendawili Kwako] ๐Ÿ‘‰'Jejere jeje'

[fumbo Kwako] ๐Ÿ‘‰Je, glass ina Maji kiasi gani?

.

familia-mapenzi-na-mahusiano.png
UJUMBE-WA-POLE-MPENZI-7798766.JPG
afya-mapishi-na-lishe.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.