.

ml.gif

πŸ‘‰πŸ˜ Hii ndio ndoto ya harusi ya kila msichana anayotamaniπŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

GIRL: Baby, hebu niambie harusi yetu itakuwaje?
BOY: Yaani hii haijawahi kushuhudiwa, ngoja nikupe kionjo kidogo tu
GIRL: Enhee…
BOY: Kwanza siku ya kupeleka mahari nitaswaga zizi zima la ng'ombe napeleka kwa babu yako
GIRL: Ooh baby u care..
BOY: Siyo hivyo tu, baba yako ntamnunulia Range Rover Sport na mama mkwe ntampa Range Rover Evoque
GIRL: Baby u are awesome…
BOY: Halagu mdogo wako wa kiume ntampa Prado Tx, na hapo nimesukutua tu mdomo sijaanza kula….
GIRL: Enhee…na sisi??

BOY: Sisi tutachukua mtaa mzima Oysterbay, kila wiki tutaishi nyumba tofauti
Halafu siku ya harusi yetu tutakodi zile meli zinabeba makontena ndiyo iwe ukumbi wetu, itatupeleka hadi Maldives
GIRL: Baby I love you
BOY: Tukitoka hapo tunaenda honeymoon Bahamas….halafu tunaenda Taiwan shopping ya fenicha, kisha Japan shopping ua electronics, halafu tunaenda Dubai nikununulie vito vya thamani
GIRL: Ooh my sweetheart…halafu tukitoka huko??
BOY: Tukitoka huko nachukua ndoo ya maji nakumwagia uzinduke usingizini na ndoto yako imeishia hapo

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Usisahau kushare kichekesho hiki Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HIIπŸ‘‰] Je binadamu wote ni sawa kiimani?

msaada.gif

.

.

Melkisedeck%20Shine.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

.

Wasiliana nami;

Kwa maoni, ushauri, nyongeza na hata salamu

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu
Mahali unapotoka
Email
Ujumbe wako
Uwe Huru. Ujumbe huu ni siri yangu na wewe.

ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES | CONSULT ME


IMG_20170703_131021.jpg

"Mpendwa msomaji wangu, karibu tena katika blog yako uipendayo. Usikose kutembelea Blog hii kila mara upatapo wasaa."