Naitwa Elisha niko Tanesco mwaka wa 7 nasoma mita

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Naitwa Elisha niko Tanesco mwaka wa 7 nasoma mita

Jamaa kavamia semina ya wasomi iliyokua inafanyika maeneo ya ubungo plaza bas wakaanza kujitambulisha
1. Naitwa Anna niko SUA mwaka3 nasoma agriculture
2. Naitwa Stella niko UDSM mwaka2 nasoma public relation
3. Naitwa Emmanuel niko UDOM mwaka3 nasoma computer science
bas jamaa nae akainuka kwa kusuasua huku akijishtukia akasema"Naitwa Elisha niko Tanesco mwaka wa 7 nasoma mita"

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Naitwa Elisha niko Tanesco mwaka wa 7 nasoma mita. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
vichekesho-bomba-vya-siku.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo za kuchekesha za vichekesho;

picha-kali.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png