Mzee wa kichaga na hela zake. Angalia anachofanya

By, Melkisedeck Shine.

Mzee wa kichaga na hela zake. Angalia anachofanya

Mzee moja alikuwa kila usiku anapita mbele ya bank anasimama,kisha anapiga honi,akitoka askari mlinzi,anaondoka.Hilo jambo likamkera sana askari mlinzi, askari akawa na mvizia yule mzee wa kichaga ,siku alipokuja tena akamkamata, akamuuliza kwa nini unakuja unapiga honi kisha unakimbia? Mzee akasema: Haki ya mungu babaangu , Nina pesa zangu ktk account hapa bank naogopa usilale usingizi ndo maana kila siku usiku napita kukuangalia kama umelala!!
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‰ackyshine.com/vichekesho


๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Haya mapenzi jamani! Umewah kumpenda kwa kihivi??V.gif

[kitendawili Kwako] ๐Ÿ‘‰Amekufa lakini anasaidia mgonjwa

[fumbo Kwako] ๐Ÿ‘‰Je Juma atatumia njia gani kuvuka?

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
KADI-SALAMU-MCHANA-JION.JPG
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.