.

ml.gif

πŸ‘‰πŸ˜ Kilichotokea Baada ya mlevi na mchungaji kukutanaπŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

MCHUNGAJI; "Unakunywa bia!?
MLEVI; "Ndio.
MCHUNGAJI; "Kwa siku unakunywa bia ngapi!?
MLEVI; "Nakunywa bia tano!
MCHUNGAJI; "Bia moja bei gani!?
MLEVU; "2500/
MCHUNGAJI; "Ulianza lini kunywa bia!?
MLEVI; "Miaka 18 iliyopita!

MCHUNGAJI; "Kwa hiyo kwa siku unatumia zaidi ya 10,000??
MLEVI; "Ndio!
MCHUNGAJI; "Kama u gekuwa unatunza hiyo pesa 10,000 kwa siku leo hii si ungekuwa na Range Rover!?
MLEVI; "Samahani, naweza kukuuliza swali!?
MCHUNGAJI; "Uliza!
MLEVI; "Unakunywa bia!?
MCHUNGAJI; "Hapana!
MLEVI; "Nionyeshe Range Rover yako!
MCHUNGAJI; "akasepa"

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Usisahau kushare kichekesho hiki Kwenye Mitandao ya Kijamii

utotoni.gif

.

.

Melkisedeck%20Shine.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

.

Wasiliana nami;

Kwa maoni, ushauri, nyongeza na hata salamu

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu
Mahali unapotoka
Email
Ujumbe wako
Uwe Huru. Ujumbe huu ni siri yangu na wewe.

ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES | CONSULT ME


images-10.jpeg

"Msomaji wangu mpenzi, nakukumbusha kutembelea blog hii kila wakati unapotaka kujifunza kitu. Kwa kufanya hivyo utaweza kujisomea mambo mapya ya kila siku.."