Vichekesho Vya AckySHINE Β» Cheka kidogo: Majibu ya mhindi kwenye mtihani wa Kiswahili alipoambiwa ajibu methali

πŸ‘‰πŸ˜ Cheka kidogo: Majibu ya mhindi kwenye mtihani wa Kiswahili alipoambiwa ajibu methaliπŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

Mhindi kwenye mtihani wa kiswahili anaambiwa amalizie methali:

(a)Nyani haoni…..valisa miwani!

(B)Debe tupu….weka dengu!

(c)Masikini akipata….iko acha iba!

(d)Penye kuku wengi…chinja bili,tatu!

(e)Asiyesikia la mkuuu….peleka yeye polisi!

(f)Penye wengi……iko kutano ya chadema!

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare kichekesho hiki.πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wachekeπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ’―βœ”