Huyu mchungaji ni noma, cheki alichomwambia pedeshe

By, Melkisedeck Shine.

Huyu mchungaji ni noma, cheki alichomwambia pedeshe

Mchungaji kamfuata pedeshe moja maarufu kwa
kumwaga pesa kwenye kumbi za muziki;
MCHUNGAJI: Kijana, tuko katika harakati za
kujenga kanisa, jitafutie nafasi katika ufalme wa
mbingu kwa kuchangia ujenzi huu. Na Mungu
atakubariki zaidi

PEDESHE: Samahani Mchungaji haitakuwa vizuri
mimi kuchangia kanisa, fedha zangu ni haramu,
huwa nazipata kwa utapeli na kuuza madawa ya
kulevya.
MCHUNGAJI: Yote ni heri, pesa yako tutatumia
kwa kujenga eneo la choo we toa tu!!!

😁😁😁😂😂😂

👉ackyshine.com/vichekesho


[kitendawili Kwako] 👉Anatembea Huku anapika

[chemsha_bongo Kwako] 👉Je, hii familia ina watoto wangapi?

.

picha-kali.png
UJUMBE-WA-SHUKRANI-KWA-NDUGU.JPG
afya-mapishi-na-lishe.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.