Mcheki Chizi na daktari

familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Mcheki Chizi na daktari

Tafakari na ujumbe huuuu!!!… *Mirembe Mental Hospital.* DAKTARI :- Unajisikiaje? CHIZI:-Kila siku naota nyani wanacheza mpira wa miguu. DAKTARI :- Nitakupa dawa leo hautaota tena. CHIZI:-hiyo dawa nipe kesho sababu leo wanacheza fainali. na nilibet 😂😂😂😂

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Mcheki Chizi na daktari. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
afya-mapishi-na-lishe.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo za kuchekesha za vichekesho;

vichekesho-bomba-vya-siku.png
afya-mapishi-na-lishe.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png