.

mtu.gif

πŸ‘‰πŸ˜ Mchaga mmoja kamtoa mke wake out mambo yakawa hiviπŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

*Mchaga mmoja kamtoa mke wake out.*

*mchaga* : _chips yai bei gani?_

*mhudumu*: _elfu 2_

*mchaga* : _zina kachumbari?_

*mhudumu*: _ndio!_

*mchaga*: _kachumbari mnauzaje?_

*mhudumu*: _kachumbari ni bure._

*mchaga*: _ok basi naomba kachumbari sahani mbili, chips ziache tuuu_.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ _SIPENDI UJINGA MIMI_πŸ’₯

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Usisahau kushare kichekesho hiki Kwenye Mitandao ya Kijamii

New-Microsoft-PowerPoint-Presentation-2.gif

.

.

Melkisedeck%20Shine.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

.

Wasiliana nami;

Kwa maoni, ushauri, nyongeza na hata salamu

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu
Mahali unapotoka
Email
Ujumbe wako
Uwe Huru. Ujumbe huu ni siri yangu na wewe.

ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES | CONSULT ME


images-10.jpeg

"Karibu kwenye blog yako yenye manufaa kwako kwa kuwa kila wakati imekua ikikujuza mambo mapya ya kukunufaisha. Unaweza kupata kitu kipya hapa kila siku.."