Machizi ni noma | Angalia hawa machizi walichokisema baada ya kuona ndege angani

By, Melkisedeck Shine.

Machizi ni noma | Angalia hawa machizi walichokisema baada ya kuona ndege angani

Machizi wamekaa sehemu mara ghafla ikapita ndege angani.
Chizi wa kwanza akasema:ndege ile itakua imembeba raisi.

Chizi mwenzie akajibu:hapana imebeba wazungu kama ingembeba raisi tungeona pikipiki zimetangulia mbele…
da!balaaa

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‰ackyshine.com/vichekesho


๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZIV.gif

[kitendawili Kwako] ๐Ÿ‘‰Fimbo yangu nzuri iliotea kwenye miiba

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
KADI-TUKUTANE-MZAZI.JPG
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.