leo mama alinikataza nictoke nyumbani usiku nijisomee !

vichekesho-bomba-vya-siku.png

leo mama alinikataza nictoke nyumbani usiku nijisomee !

Mzee wa miaka 60 alimwambia mkewe, leo nataka tukumbukie enzi zetu kutongozana, mke akajibu sawa, inabidi unisubiri mwembeni saa 1 usiku nitapita, mzee akafika saa 1 alikaa hadi saa 5 usiku, aliporudi nyumbani akamuuliza mkewe kwa hasira; sasa tumepanga nin halafu haujatokea ?
Mke; leo mama alinikataza nictoke nyumbani usiku nijisomee ! Babu hoii…

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, leo mama alinikataza nictoke nyumbani usiku nijisomee !. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
picha-kali.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo za kuchekesha za vichekesho;

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
afya-mapishi-na-lishe.png
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png