Kwa hiki kilichonikuta sitadanganya tena kuanzia leo

By, Melkisedeck Shine.

Kwa hiki kilichonikuta sitadanganya tena kuanzia leo

Juzi nikitoka church nilipanda kihiace na kulikuwa na mrembo mkali hujawahi kuona,kila kijana alikuwa akimtupia macho,so me nilikuwa na wepesi wa kuongea naye kirahisi coz nilikuwa kando yake,,, Sasa kama unavyojuwa wanaume kwa kujikosha Nikaimigine mtto ananiangalia so nikaamuwa kupiga fake phone
"Hello Mr. Supervisor,nitachalewa kidogo coz kuna mahali nitapitia, so nipelekee tu hyo Ferrari yangu nyumbani"

Nikaona mrembo ameniangalia kwa macho ya husda apo nkajua nimeuwa ndege kwa jiwe moja, nkaamua kujikosha mtt wa kiume , "niaje mrembo", akanikazia macho kisha akaniambia,
"Shika battery yako uliangusha ukitoa simu"

Icho kicheko watu walicheka hujawahi ona jooo adi ikabidi dereva aegeshe gari watu wacheke kwanza 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nikaona isiwe tabu nikashukia pale pale🚶🏿🚶🏿🚶🏿

Tujifunze kusema ukweli kwani uongo sio mzuri hata kwa Mungu… 🙏🙏🙏🙏🙏

😁😁😁😂😂😂

👉ackyshine.com/vichekesho


[kitendawili Kwako] 👉Njoo tukamfinye mwehu

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

Marafiki-wa-enzi.GIF
SALAMU-MPENZI-MCHANA-33097HG34MX.JPG

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.