Mtuhumiwa kazua mpya mahakamani, angalia alivyomuweza hakimu na kushinda kesi

By, Melkisedeck Shine.

Mtuhumiwa kazua mpya mahakamani, angalia alivyomuweza hakimu na kushinda kesi

HAKIMU: Nakuhukumu kwa kukutwa na mitambo ya kutengenezea gongo.
MTUHUMIWA: Lakn ni mitambo tu siyo gongo mheshimiwa!
HAKIMU: Hicho ni kithibiti tosha kabisa!.

MTUHUMIWA: Basi nihukumiwe pia kwa kosa la kubaka.

HAKIMU: Kumbe ulibaka pia!!?

MTUHUMIWA: Hapana, sijabaka ila hapa ninacho kifaa cha kubakia.

HAKIMU: kipo wapi ?

MTUHUMIWA: hiki hapa. Jamaa kafungua zipu na kumuonesha Hakimu nyeti zake.

HAKIMU: UKO HURU

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‰ackyshine.com/vichekesho


๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Acha usumbufu...V.gif

[kitendawili Kwako] ๐Ÿ‘‰Chajibandika na kujibandua

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
Marafiki-wa-enzi.GIF
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.