.

mtu.gif

πŸ‘‰πŸ˜ Sababu ya mwanaume kunya kitandani alipokuwa kalala na mke wakeπŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

Jamaa flani alikuwa amelala na mkewe. Mara akamuona mtu amesimama kitandani.

Jamaa akafoka, "Toka hapa, we ni nani mpaka unakuja kitandani mwangu?"

Yule mtu akajibu, "Mi ni malaika na hapa sio kitandani mwako uko mbinguni!"

Jamaa, "Huh! Inamaana nimekufa,mbona mi bado kijana… naomba nirudishwe!"

Malaika, "Inawezekana lakini siwezi kukurudisha kama mtu labda urudi kama mbwa ama kuku."

Jamaa akakumbuka mbwa wanavyopata taabu ya kulinda, akaonelea arudi kama kuku.

Malaika akamgeuza kuku, akamwambia ajifunze kutaga kabla hajapelekwa duniani.

Akachuchumaa na kuanza kujikamua; yai la kwanza likatoka. akajikamua tena, yai la pili likatoka. Akajikamua tena mara ya tatu.

Wakati yai la tatu linatoka… akashtukia amepigwa konde ikifuatwa na sauti ya hasira ya mkewe, "Pumbav*! Balaa gani hii…. unakuny* kitandani!!"

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Usisahau kushare kichekesho hiki Kwenye Mitandao ya Kijamii

mtu.gif

.

.

Melkisedeck%20Shine.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

.

Wasiliana nami;

Kwa maoni, ushauri, nyongeza na hata salamu

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu
Mahali unapotoka
Email
Ujumbe wako
Uwe Huru. Ujumbe huu ni siri yangu na wewe.

ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES | CONSULT ME


images-14.jpeg

"Msomaji wangu mpendwa, asante kwa kuendelea kupenda kutembelea blog hii. Unakaribishwa tena kila siku kwa ajili ya kusoma makala mpya.."