Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake

By, Melkisedeck Shine.

Angalia kilichomkuta huyu msanii wa mziki na mashabiki wake

Msanii mmoja anaitwa ''KINYA'' alikuwa ana perfom jukwaan..!!!
Kawaida kila msanii lazima ajitambulishe, mfano:-
''YEAH NI TEMBA hapa au
YEAH NI CHEGE hapa…!!!

Yeye akasema: "YEAH NIKINYA HAPA…!!!"
Watu wakapiga kelele ''UTAZOAAA'' mwenyewe bwenge wee

JE, WEWE UNGEJITAMBULISHAJE NAITAJI JIBU LAKO TUONEโ™ฅ

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‰ackyshine.com/vichekesho


๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Walevi wana Mambo! Angalia wanachokisemaV.gif

[kitendawili Kwako] ๐Ÿ‘‰Mwenyewe hana uti wa mgongo

[fumbo Kwako] ๐Ÿ‘‰Je Juma atatumia njia gani kuvuka?

.

uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png
kj.gif
vichekesho-bomba-vya-siku.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.