Jamaa safarini, gari likamharibikia kijijini akaomba hifadhi akakaribishwa, baada ya kuoga na kula ikawa hivi...!!

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Jamaa safarini, gari likamharibikia kijijini akaomba hifadhi akakaribishwa, baada ya kuoga na kula ikawa hivi…!!

MZEE:"sasa huyu mgeni sijui alale wap?"
MKE:"saa hizi ni usiku akalale na Bebi."
jamaa akaona huyo Bebi pengne mtoto anakojoa kitandani au akalia asije msumbua usiku
JAMAA:"msipate tabu mi ntalala hapa kwenye kochi" akalala
asubh wanakunywa chai akaibuka mrembo,jamaa akapigwa bumbuwazi almanusra ajimwagie chai.
BINTI:"Naitwa BEBI,we unaitwa nani?"
Jamaa akasema mimi naitwa Fara…..!

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Jamaa safarini, gari likamharibikia kijijini akaomba hifadhi akakaribishwa, baada ya kuoga na kula ikawa hivi…!!. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
afya-mapishi-na-lishe.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo za vichekesho;

picha-kali.png
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png