Huyu jamaa kawaweza polisi watatu, cheki alichowaambia

By, Melkisedeck Shine.

Huyu jamaa kawaweza polisi watatu, cheki alichowaambia

Polisi::: hodi, hodi
Jamaa::: kimya
Polisi::: hodi, hodi
Jamaa::: we nani kwani?
Polisi::: sisi polisi
Jamaa::: mnataka nini?

Polisi::: kuongea na wewe
Jamaa::: kuongea na mimi?!
Polisi::: ndio
Jamaa::: mko wangapi?
Polisi::: tuko watatu
Jamaa::: kama mko watatu si muongee wenyewe…!!!

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‰ackyshine.com/vichekesho


๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Mapenzi ya siku hizi ni kama hiviV.gif

[kitendawili Kwako] ๐Ÿ‘‰Kitu gani chenye miguu lakini hakitembei?

[fumbo Kwako] ๐Ÿ‘‰Je, moshi ulielekea upande gani?

.

afya-mapishi-na-lishe.png
UJUMBE-MSAMAHA-35JHF32.JPG
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.