Angalia huyu jamaa alivyowafanyia watu uhuni bar

By, Melkisedeck Shine.

Angalia huyu jamaa alivyowafanyia watu uhuni bar

Jamaa kaingia Bar;
Jamaa: Muhudumu, nipe kinywaji na mpe kila mtu humu ndani kinywaji, maana wakati napata kinywaji lazima kila mtu apate kinywaji. Haraka sana muhudumu akagawa vinywaji,

Jamaa: Muhudumu nipe supu na kila mtu humu ndani mpe supu maana ninapokunywa supu kila mtu lazima anywe supu. Watu wakapewa supu tena safari hii wakapiga makofi.
Jamaa: Muhudumu nipe bili, na kila mtu humu ndani mpe bili maana wakati nalipa bili yangu kila mtu lazima alipe yake. Zogo lilianzia hapo…….

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‰ackyshine.com/vichekesho


๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Hili nalo neno kwa wavulanaV.gif

[kitendawili Kwako] ๐Ÿ‘‰Hujisaidia kujirundika parnoja

[chemsha_bongo Kwako] ๐Ÿ‘‰Ni herufi gani tatu zinafuata baada ya hizi?

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
UJUMBE-MSAMAHA-35JHF32.JPG
picha-kali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.