.

Ndugu.gif

πŸ‘‰πŸ˜ Huyu mke ni shida!πŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

MUME: "Unajua mi unanishangaza sana, kila siku nakusikia mara useme TV yangu, gari yangu, chumbani kwangu, mara hoo watoto wangu. Sisi ni mke na mume, kila kitu ni chetu. Jirekebishe bwana".πŸ‘΄πŸ˜ŽπŸ˜ŽπŸ˜’
MKE: Yuko kimya anaendelea na shughuli zake za kupekua kabatini kama hasikii, na hakumjibu kitu mumewe.πŸ‘΅πŸ˜·
MUME: Akamuuliza kwa hamaki,"Sasa hapo unatafuta nini?".πŸ‘΄πŸ˜‘
MKE: "Sidiria yetu!!"πŸ‘™πŸ’
MUME: (kamfungia kabatini alafu kamwambia. "nipo chumbani , ")πŸ‘΄πŸ˜·πŸ˜·
πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Usisahau kushare kichekesho hiki Kwenye Mitandao ya Kijamii

nn.gif

.

.

Melkisedeck%20Shine.gif

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

.

Wasiliana nami;

Kwa maoni, ushauri, nyongeza na hata salamu

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu
Mahali unapotoka
Email
Ujumbe wako
Uwe Huru. Ujumbe huu ni siri yangu na wewe.

ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES | CONSULT ME


HAPPY-MOMENTS.jpg

"Hakuna uwezo bila fursa. Huwezi kusema unauwezo wa kitu kama hauna fursa ya kukifanya.."