Huyu jamaa kawaweza wapenda vya bure

By, Melkisedeck Shine.

Huyu jamaa kawaweza wapenda vya bure

Jamaa kaingia mgahawani kwa fujo
JAMAA : Nipe soda moja na kila mtu mpe yake maana ninapokunywa soda napenda kila mtu anywe
WATU : Ha! Ha! Ha! Haaaa!
JAMAA : Nipe mchemsho na kila mtu mpe wa kwake maana ninapokula mchemsho napenda kila mtu ale wake
WATU: Watu weweeee! Tena safari hii Na makofi juu..
JAMAA : Mhudumu, nipe bili na kila mtu mpe yake maana ninapolipa bili napenda kuona kila mtu analipa yake
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‰ackyshine.com/vichekesho


๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Baadhi ya misemo mikali ya leoV.gif

[kitendawili Kwako] ๐Ÿ‘‰Bwana Afya wa Porini

[fumbo Kwako] ๐Ÿ‘‰Je, moshi ulielekea upande gani?

.

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png
tafuta-rafiki.gif
afya-mapishi-na-lishe.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.