Hii ndiyo bongo sasa!!

By, Melkisedeck Shine.

Hii ndiyo bongo sasa!!

Hii ndio Bongo

Ilikuwa Ijumaa mida ya saa 10 jioni, mzee mmoja aliingia na kibinti kizuri kwenye yard ya magari mapya. MZEE: Chagua gari unalotaka mpenzi….kabinti akazunguka yard yote mwisho akachagua Verrosa metallic . BINTI: Mi naitaka hii MZEE: Hakuna tatizo kabisaaa, mtoto mzuri kama wewe lazima upate gari uloichagua mwenyewe. Mzee akatoa kitabu cha cheki na kuandika palepale na kumpa mwenye yard MUUZAJI: Sasa Mzee kwa kuwa umetoa cheki, gari utakuja chukua Jumatatu tukishahakikisha kuwa Account yako ina pesa benki. Naomba namba yako ya simu Mzee MZEE: Hakuna tatizo (akampa namba). Haya twende zetu sweetie Jumatatu tunakuja wote kuchukua gari lako… Siku ya Jumatatu mwenye yard kampigia simu Mzee. MUUZAJI: We Mzee kavu sana, akaunti yako haina hata senti tano. MZEE: Hilo nilijua, lakini wiki endi yangu ilikuwa tamu sana.💦😆💦

😁😁😁😂😂😂

👉ackyshine.com/vichekesho


😂 NIMEIPENDA HII👉 Ziara za kushtukiza zinachekesha sanaV.gif

[kitendawili Kwako] 👉Kipara cha mzee kinatoka moshi

[fumbo Kwako] 👉Je, glass ina Maji kiasi gani?

.

afya-mapishi-na-lishe.png
Slide2-utotoni.GIF
familia-mapenzi-na-mahusiano.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.