Hii kazi kweli kweli

By, Melkisedeck Shine.

Hii kazi kweli kweli

UNATOKA SEBULENI UNAENDA ZAKO CHOONI UNAINGIA TU HIVI GHAFLA UNAKUTANA NA MZIGO MKUBWA WA MAVI JUU YA CHOO ALAFU UNAAMUA KURUDI ZAKO ILE UNATOKA TU UNAMUONA DEMU MZURI ULIYEMTONGOZA JANA ANAKUJA KUINGIA CHOO ULICHOTOKA WW NA KINA MZIGO WA MAVI JUU NA AMEKUONA WW NDIO UMETOKA MLE NDANI ..unaamua kurudi ili uka flash bahat mby maji hakuna.!!!

😁😁😁*HAPO NDIO UTAJUA KWANINI SIKU HIZI HATUPENDI UJINGA😆😆😆😆*

😁😁😁😂😂😂

👉ackyshine.com/vichekesho


😂 NIMEIPENDA HII👉 Mambo ya pesa haya..V.gif

[kitendawili Kwako] 👉Ina paa, madirisha na milango

[fumbo Kwako] 👉Je, hawa walizikwa wapi?

.

vichekesho-bomba-vya-siku.png
tafuta-rafiki.gif
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.