Haya ndiyo madhara ya kutowapeleka watoto kanisani โ›ช

By, Melkisedeck Shine.

MTOTO aliibiwa yeboyebo KANISANI akawa analia sana kwa uchungu mpaka MCHUNGAJI akamwambia usilie mwachie MUNGU. MTOTO akajibu Mungu hazimtoshi zile yebo ni ndogo! Usicheke,

Huu ni Mtihani Tuwapeleke Watoto KANISANI Wamjue MUNGU.

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Mlevi kazua tafrani, angalia alichokifanya hapaV.gif
FURSA.PNG

Fursa Ya Kazi Na Ajira Yenye Malipo Mazuri

Au soma zaidi hapa

.