Haya hapa, mavazi makuu ya msichana, nguo nne za msichana

Haya hapa, mavazi makuu ya msichana, nguo nne za msichana

Haya hapa, mavazi makuu ya msichana, nguo nne za msichana

Lazima tuwajulishe watoto wetu wasichana kuwa, katika maisha yao kuna nguo kuu nne za kuvaa.

Nazo ni:
1) Sare ya shule
2) Joho la Graduation
3) Gauni la Harusi
4) Maternity dress (Nguo ya mjamzito)

Hata hivyo, kama ukiruka ya kwanza, hutapata nafasi ya kuvaa ya pili

Usikimbilie kuvaa ya nne, eti kwa sababu mtu amekuahidi ya tatu.

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Haya hapa, mavazi makuu ya msichana, nguo nne za msichana. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo za vichekesho;