Vichekesho Vya AckySHINE Β» Eti kwa nini Watu hawapostigi hii? Hata selfie sijaonaga

πŸ‘‰πŸ˜ Eti kwa nini Watu hawapostigi hii? Hata selfie sijaonagaπŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

Vijana mkiwa mnaendesha magari mna post mukiwa mpo beach mna post mkiwa kwenye masherehe mna post Lakin mkiwa mmeenda kwa mganga siwaoni kupost mitunguli na vibuyu vya mganga unakuwa je wa zee tena. πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare kichekesho hiki.πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wachekeπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ’―βœ”