Vichekesho Vya AckySHINE Β» Dogo alivyomchomea dada wa kazi kwa mama yake kuhusu baba

πŸ‘‰πŸ˜ Dogo alivyomchomea dada wa kazi kwa mama yake kuhusu babaπŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

Dogo: mama hivi malaika si wanapaa?

Mama: ndiyo wanapaa, kwanini umeniuliza hivyo?

Dogo: nimesikia baba jana anamuita dada (housegir) malaika wangu, kwa hiyo nae atapaa?

Mama: ndiyo atapaa kuelekea kijijini kwao kesho, pumbavu zake.

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸ™‰πŸ™‰πŸ™‰Usisahau kushare kichekesho hiki.πŸ‘ Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wachekeπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ’―βœ”