Angalia huyu mgeni anachokifanya, wageni wengine ni hatari

By, Melkisedeck Shine.

Angalia huyu mgeni anachokifanya, wageni wengine ni hatari

Hata kama ni Mgeni this is too much.
Mwenyeji: Karibu mgeni karibu ukae,utapenda chai au soda?
Mgeni: Nipe nianze na soda wakati chai inachemka.
Mwenyeji: Utakunywa fanta au sprite?
Mgeni: Nipe fanta wakati sprite inapoa.
Mwenyeji: Utakunywa na keki au mkate?
Mgeni: Nipe keki mkate nitanywea chai ikishachemka.
Mwenyeji: Utapendelea ndiz au machungwa,
Mgeni: Nipe machungwa ndizi ntakula na wali
mchana.
Chezea mgeni ww.!!!

😁😁😁😂😂😂

👉ackyshine.com/vichekesho


😂 NIMEIPENDA HII👉 Haya ndiyo matatizo ya kweli sasaV.gif

[kitendawili Kwako] 👉Bibi anakung'uta matandiko

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

KADI-SHUKRANI-MZAZI.JPG
Ndugu.gif

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.