.

mtu.gif

πŸ‘‰πŸ˜ Cheka kidogo, angalia anachosema huyu mchagaπŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

Mchaga baada ya kufa akaulizwa na malaika anayetoa roho: Mangi hapa ni njiapanda kulia ni Mbinguni na kushoto ni Jehanamu, Je unachagua kwenda wapi?

MANGI: Bwashee, mi nabaki hapa hapa njiapanda aisee.
MALAIKA: Kwa nini?
MANGI: Aisee, nikifungua duka hapa si nitapata wateja wa Mbinguni na Jehanam. Yani patakuwa senta ya hatari, supu na nyama choma muda wote. Hata we utafaidi, unavyoenda kuchukua roho unaniletea stock nakupa hela yako cash mkononi. Na kila ukipita hapa unapiga mchemsho wako wa ulimi na bia mbili chap kabla ya kuingia mbinguni.
Kwanza nashangaa Shirima alipitaje hapa bila kushika ploti, au alikufa amelewa sana?

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Usisahau kushare kichekesho hiki Kwenye Mitandao ya Kijamii

[NZURI HIIπŸ‘‰] Huyu dogo nimsaidieje??

[NZURI HIIπŸ‘‰] Hizi sifa zimezidi sasa

[NZURI HIIπŸ‘‰] Acha usumbufu...

[NZURI HIIπŸ‘‰] Status za Whatsapp

New-Microsoft-PowerPoint-Presentation-2.gif

.

.

Melkisedeck%20Shine.gif

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

.

Wasiliana nami;

Kwa maoni, ushauri, nyongeza na hata salamu

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu
Mahali unapotoka
Email
Ujumbe wako
Uwe Huru. Ujumbe huu ni siri yangu na wewe.

ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES | CONSULT ME

Blog nyingine ndani ya AckySHINE.com

| VICHEKESHO | VIDEOS | PICHA | UJASIRIAMALI | MAHUSIANO | KILIMO & MIFUGO | AFYA & MAPISHI | HADITHI | MISEMO | KATOLIKI