.

utotoni.gif

πŸ‘‰πŸ˜ Angalia huyu mtoto anachomjibu baba yake baada ya kutoka kwenye mtihaniπŸ˜‚πŸ‘‡βœ”

BABA: mwanangu kwenye huu mtihani uliofanya natumaini utafanya vizuri.
DOGO: ndio baba nitapata mia kwa mia.
BABA: kwanini unasema hivyo?.

DOGO: kwasababu jana kanisani tulifundishwa "Yesu ni jibu" kwahiyo kote nimejaza Yesu.
BABA: kwel kazi ipo
JE UNGEKUWA WEWE HUYO NDO MWANAO UNGEMFANYAJE?

πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Usisahau kushare kichekesho hiki Kwenye Mitandao ya Kijamii

karibu-sn.gif

.

.

Melkisedeck%20Shine.gif

b.gif

Mimi ni Melkisedeck Shine Mmiliki, Mwandishi /Mhariri.Soma%20Zaidi.gif

.

Wasiliana nami;

Kwa maoni, ushauri, nyongeza na hata salamu

Jina lako
Mawasiliano
Andika namba yako ya simu
Mahali unapotoka
Email
Ujumbe wako
Uwe Huru. Ujumbe huu ni siri yangu na wewe.

ABOUT AUTHOR | LEGAL GUIDELINES | CONSULT ME


images-20.jpeg

"Endelea kufurahia Blog hii kwa kutembelea kila siku. Furahia posti mpya kila siku unapotembelea Blog hii.."