Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli

elimu-sayansi-na-tekinolojia.png

Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli

MUME: Mke wangu naomba nikubusu
MKE: Sitaki
MUME: Ntakununulia pete ya gold
MKE: Staki
MUME: Ntakununulia gari
MKE: Sitaki….mtoto wao aliyekuwa kalala alisikia haya maneno ya mwisho
MTOTO: Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli
BABA: Pumbafu lala huko mjinga mkubwa

Usisahau kushare posti hii!! Share Facebook, Twitter bila kusahau Whatsapp!!

Toa maoni yako kuhusu, Baba basi nibusu mimi uninunulie baiskeli. hapa..

Add a New Comment
or Sign in as Wikidot user
(will not be published)
- +
picha-kali.png
vichekesho-bomba-vya-siku.png

Kwa sasa endelea kusoma posti hizi zifuatazo za kuchekesha za vichekesho;

familia-mapenzi-na-mahusiano.png
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png
elimu-sayansi-na-tekinolojia.png