Angalia nilichomfanya huyu mtoto

By, Melkisedeck Shine.

Angalia nilichomfanya huyu mtoto

Kuna mtoto wa jirani ananibore sana kila nkimtuma kitu dukani lazima aonje, Jana nlimtuma sukari akala yote.. Sahii nmemtuma superglue haongei Sipendi ujinga mimi 😡😡😡😡😡😡

😁😁😁😂😂😂

👉ackyshine.com/vichekesho


[kitendawili Kwako] 👉Vinatazamana kwa hasira bila kupigana

.

afya-mapishi-na-lishe.png
rafiki.gif
picha-kali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.