Angalia nilichokifanya Jana kumkomoa x-wangu

By, Melkisedeck Shine.

Angalia nilichokifanya Jana kumkomoa x-wangu

Mwenzenu nilikatiwa umeme jana basi leo si nikaamua kwenda kununua luku ya 10,000. Kufika njiani nikatamani fursana nikaingia kijisupermarket mara sindo nakutana na ex wangu! Mshenzi yule kaniona mimi sijui alikua na mpango wa kununua vocha ya jero eti kabadili kanunua vocha ya buku tano ilimradi nione maisha yake safi tangu tuachane. Mambo ya kijinga spendi kudadeky nimetoa buku kumi nikanunua mipampers nami nijifanye nimeowa nina mtoto halafu huyoo nikashika njia yangu.

Sasa washkaji zangu tafadhalini mwenye mtoto au shida ya pampers naomba anunue kwangu maana leo nalala tena kiza ๐Ÿ™†โ€โ™‚

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

๐Ÿ‘‰ackyshine.com/vichekesho


๐Ÿ˜‚ NIMEIPENDA HII๐Ÿ‘‰ Sitasahau mwaka huuV.gif

[kitendawili Kwako] ๐Ÿ‘‰Kitu gani Kinakuwa Kibichi wakati wa Kukausha?

.

afya-mapishi-na-lishe.png
PONGEZI-MPENZI-24498UA8.JPG
uchumi-biashara-na-ujasiriamali.png

Website na, Melkisedeck Leon Shine | Tembelea website nyingine Hapa>>.