Angalia Kiingereza kilivyoniponza

By, Melkisedeck Shine.

Shikamoo kingereza..!

Baada ya kufika Kempiski nikaona menu imeandikwa:

Sauteed white corn, rare lucy beans, garnished with rift potatoes & topped with organic unprocessed guacamole!

Price: TSH 44,000/=

Nikaagiza!

Nilipoletewa ndio nagundua kwamba: ni makande na parachichi ..🤔

hapo ndo unagundua mwalimu wa kiingereza alikuwa sio mtu wa mchezo mchezo🤒💨

😁😁😁😂😂😂

😂 NIMEIPENDA HII👉 Tofauti ya mke na mchepuko!!!V.gif

FURSA..! Kuna nafasi za kazi 100.

Au soma zaidi hapa

.

KADI-PONGEZI-MZAZI.JPG
rafiki.gif

USIKOSE HII👉 Picha Kali Za Kuchekesha